Leo Marchi 8, 2025 ni siku ya Wanawake Duniani, Na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dr. Deogratias Banuba anawatakia kheri Wanawake wote Duniani.... Read More
Habari

Huduma ya Uchujaji Damu {Dialysis) imeanza rasmi mwezi huu wa Februari 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Akiongea katika Mahojiano yake na kituo cha Radio cha ... Read More

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko leo Januari 22, 2025 ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na kufuatilia maendeleo ya majenzi ya Jengo la uchujaji damu (Dia... Read More

Leo Januari 17, 2025 kumefanyika kikao cha mwezi Januari cha Timu ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi (RRHMT). Kikao hicho Kilikuwa na Ajenda mbalimbali za kimkakati&... Read More

Katika jitihada za kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu nchini Tanzania ifikapo 2030, Serikali imegawa mashine mpya 185 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 7 kwa ajili ya uchunguzi n... Read More

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Unawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Mwaka mpya wa 2025. Leo Januari 1, 2025 Asilimia kubwa ya Nchi nyingi Duniani (Ukitoa Nch... Read More

Muuguzi Mkuu wa Serikali Bi. Ziada Sellah leo Desemba 19, 2024 ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na kuongea na Wakunga Wauguzi. Bofya link hii kutazama zaidi picha. ... Read More

Leo Desemba 17, 2024 Madaktari Bingwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi wamefanikiwa kuondoa jiwe lenye uzito wa Gramu 500 kwenye Kibofu cha Mkojo. Upasuaji huo umeongozwa na Dr. ... Read More

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi imefanikiwa kunufaisha Wagonjwa zaidi ya 200 kutokana na uwepo wa huduma ya CT-SCAN ambayo awali huduma hiyo ilikuwa haipatikani Mkoani hapa. Akitoa r... Read More

Madaktari Bingwa Wabobezi wa Watoto wachanga kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya waja mkoani Katavi kutoa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo watoa huduma za afya kwa Watoto ... Read More