Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Bodi

Bodi ya ushauri ya hospitali ya rufaa ya mkoa wa katavi iliundwa kulingana na mwongozo wa maboresho ya uendeshaji wa hospitali  za Mikoa (Hospital Reform) inchini wa mwezi augost mwaka 2008 wa wizara ya afya, kwa ajili ya kuzishauri menejimenti za Hospitali za Rufaa za Mikoa kuimarisha uendeshaji na usimamizi wa Hospitali na hatimaye kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Bodi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi

SOUD HAMISI CHANDE AFISA AFYA MWENYEKITI WA BODI
DR. DEOGRATIAS BANUBA MGANGA MFAWIDHI KATIBU
GADIEL P. SINDAMEYA MWANASHERIA MJUMBE 
HAPPINESI KABADI MWAKILISHI WANANCHI MJUMBE
DR. LIMBU MAZOYA DAKTARI MJUMBE
APOLINALY MUSHI KATIBU AFYA MKOA MJUMBE
ISRAEL J. NGASI MKUU WA HAZINA NDOGO KATAVI MJUMBE