Muuguzi Mkuu wa Serikali Bi. Ziada Sellah leo Desemba 19, 2024 ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na kuongea na Wakunga Wauguzi. Bofya link hii kutazama zaidi picha. ... Read More
Habari
Leo Desemba 17, 2024 Madaktari Bingwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi wamefanikiwa kuondoa jiwe lenye uzito wa Gramu 500 kwenye Kibofu cha Mkojo. Upasuaji huo umeongozwa na Dr. ... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi imefanikiwa kunufaisha Wagonjwa zaidi ya 200 kutokana na uwepo wa huduma ya CT-SCAN ambayo awali huduma hiyo ilikuwa haipatikani Mkoani hapa. Akitoa r... Read More
Madaktari Bingwa Wabobezi wa Watoto wachanga kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya waja mkoani Katavi kutoa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo watoa huduma za afya kwa Watoto ... Read More
Madaktari bingwa wa Hospitali ya Benjamini Mkapa kushirikiana na madaktari bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi watafanya kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu kwa magonjwa yafuat... Read More
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA DKT. SEIF SHEKALAGHE NA NAIBU KATIBU MKUU DKT. GRACE MAGEMBE WAPOKELEWA WIZARANI Menejimenti na Watumishi wa Wizara ya Afya wameshiri... Read More
Vongozi Salaam. Naomba kuwakumbusha kuwa MIRADI ya fedha za IMF, haina extension ya funding beyond June 30 ,2022. Sasa kaeni na wakandarasi wenu na kuhakikisha ujenzi na manunuzi yanak... Read More
Mhe. Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo, Akikagua Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi Tar. 20/11/2020. Alipo fanya ziara yake Mkoani Katavi.... Read More
Katikati Ni Mkuu Wa Mkoa Wa Katavi Mwamvua Mlindoko, Kulia ni Mganga Mkuu Wa Mkoa Dr Omary Sukari, Kushoto ni Mganga Mfawidhi Hospitali Ya Rufaa Katavi Dr Yustina Adam Tizeba, wakikagu... Read More