Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Aprili 8, 2025 amekabidhi tuzo na zawadi kwa Mikoa, Wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika utunzaji wa mazingira pamoja na ... Read More

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Aprili 8, 2025 amekabidhi tuzo na zawadi kwa Mikoa, Wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika utunzaji wa mazingira pamoja na ... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Tunawatakia Watanzania wote kheri ya maadhimisho ya Kumbukizi ya miaka 53 ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume.... Read More
Bodi ya Ushauri, Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi tunawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid El-Fitr.... Read More
Na WAF - Biharamulo, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Tanzania imefanikiwa kuudhibiti ugonjwa wa mlipuko wa Marburg na ameutangazia Umma wa Watanzania kuwa ugonjwa huo... Read More
Leo Marchi 8, 2025 ni siku ya Wanawake Duniani, Na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dr. Deogratias Banuba anawatakia kheri Wanawake wote Duniani.... Read More
Huduma ya Uchujaji Damu {Dialysis) imeanza rasmi mwezi huu wa Februari 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Akiongea katika Mahojiano yake na kituo cha Radio cha ... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko leo Januari 22, 2025 ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na kufuatilia maendeleo ya majenzi ya Jengo la uchujaji damu (Dia... Read More
Leo Januari 17, 2025 kumefanyika kikao cha mwezi Januari cha Timu ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi (RRHMT). Kikao hicho Kilikuwa na Ajenda mbalimbali za kimkakati&... Read More
Katika jitihada za kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu nchini Tanzania ifikapo 2030, Serikali imegawa mashine mpya 185 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 7 kwa ajili ya uchunguzi n... Read More
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Unawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Mwaka mpya wa 2025. Leo Januari 1, 2025 Asilimia kubwa ya Nchi nyingi Duniani (Ukitoa Nch... Read More