Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

dira

DIRA

Kuwa na ubora, huduma za bei nafuu na endelevu afya ya kinga na tiba kwa jamii 


Dhamira

Kwa kutoa huduma bora ya kinga na tiba ya afya na kufanya tafiti mbalimbali zinazohusiana na huduma za afya kwa faida ya wateja wetu.