Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

KARUME DAY 2025

Posted on: April 6th, 2025

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Tunawatakia Watanzania wote

kheri ya maadhimisho ya Kumbukizi ya miaka 53 ya aliyekuwa

Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume.