Wagonjwa wa Ndani
Posted on: March 24th, 2023Huduma ya wagonjwa wa Ndani, Wakati wewe au mpendwa wako anahitaji kukaa katika hospitali yetu Katavi RRH kwa ajili ya huduma ya magonjwa ya akili ambayo pia inapatikana, unaweza kujisikia utulivu na ujasiri kujua utapokea huruma, furaha na huduma ya kina.
Sisi tumejitoa kwa dhati kutoa huduma kwa wagonjwa wetu ili waweze kupona au kupata ahueni kulingana na mpango kazi wetu wa kitabibu kwa jinsi inavyo hitajika kwa mgonjwa husika. Tunahakikisha tunafanya matibabu yanayo kidhi viwango vya kuridhisha hata itakapo fikia wakati wa kuruhusiwa kuondoka Hospitali
Bila kujali ni kwa nini wagonjwa wetu kuja kwetu,lakini ni kwa sababu tuna huduma ya kitibabu inayo kidhi ubora wa maisha. Katika Mpanda - Katavi, sisi kutoa huduma ya wagonjwa wa ndani kwa vijana, watu wazima na wazee.