Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Wizara ya Afya

Posted on: June 6th, 2021

Katavi Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Katavi Dr Yustina Adam Tizeba akiongozana na Mratibu ,Dawati la Wazee, Idara ya Tiba Wizara ya Afya Dr Msafiri Kabulwa wakiwa pamoja katika kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Katavi Tarehe 5 Jun 2021.