UJUMBE KUTOKA NATIONAL DEFENCE COLLEGE TAREHE 21/1/2021
Posted on: February 3rd, 2021Kushoto ni Brig. Gen CE Msola akimkabidhi tuzo Mganga Mfawidhi Dkt. Yustina Tizeba tarehe 21/1/2021. Brig. Gen. CE Msola alikuwa ni mkuu wa msafara kati ya ujumbe kutoka National Defense College walipo tembelea Hospitali ya Rufaa Katavi kushuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Hospitali hii, pamoja na kuona maendeleo ya ujenzi wa Hospitali mpya ya Rufaa ya Katavi.