Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA KATAVI.

Posted on: March 27th, 2020

Mganga Mfawidhi Dr Yustina Adam Tizeba (watatu kutoka kushoto) wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi, Alitembelea ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Katavi. Akiongozana na Kaimu Mhandisi wa Mkoa wa Katavi Eng. Alpha Singenda (kulia) pamoja na wajumbe wa RRHMT. Wakikagua maendeleo ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi.