Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

TUNAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA MAULID

Posted on: September 4th, 2025

Bodi ya ushauri, Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi

tunawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W)