Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Siku ya kuzuia kujiua duniani

Posted on: September 9th, 2025

Kila Tarehe 10 ya Mwezi Septemba Dunia inaadhimisha siku ya Kuzuia kujiua.

Katika Hospitali yetu tunatoa Huduma za kibingwa za Changamoto ya Afya ya Akili, Karibu tukuhudumie.