Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI DAKTARI DOROTH GWAJIMA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA FIMBO NYEUPE KATAVI

Posted on: November 19th, 2020

Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Dkt Doroth Gwajima akipokea zawadi kutoka kwa mwenyekiti wa Wasioona katika maadhimisho ya FIMBO NYEUPE yaliyofanyika mkoani katavi tarehe 19/11/2020, ambapo Naibu Katibu Mkuu Daktari Doroth Gwajima alikuwa MGENI RASMI katika maadhimisho hayo.