Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Mkuu wa Mkoa

Posted on: June 5th, 2021

 Katikati Ni Mkuu Wa Mkoa Wa Katavi Mwamvua Mlindoko, Kulia ni Mganga Mkuu Wa Mkoa Dr Omary Sukari, Kushoto ni Mganga Mfawidhi Hospitali Ya Rufaa Katavi Dr Yustina Adam Tizeba, wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Mkuu wa Mkoa alishangazwa na sintofahamu ya maendeleo duni ya ujenzi wa Hospitali hiyo. Hivyo alitoa maelekezo na maagizo malimbali ili kuwaza kukamiliha ujenzi wa hospitali hiyo ambayo ujenzi wake umekuwa uki legalega.