Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

MKOA WA KATAVI WAADHIMISHA SIKU YA CHANJO

Posted on: October 24th, 2019

Wataalam wa Afya kutokea Halmashauri zote za Mkoa wa Katavi na viunga vyake wakiwa kweny mkutano maalum wa kazi ya kuhamasisha utoaji wa CHANJO YA RUBELA katika kuazimisha siku hiyo.