Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

MH. RAIS ALIPOITEMBELEA MKOA WA KATAVI KWA ZIARA YA SIKU 3

Posted on: October 14th, 2019

Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na Daktari wa Mkoa Dr Omari Sukari, pembeni ni Mkuu wa mkoa wa Katavi Mh. Juma Homera pamoja na Waziri mwenye dhamana katika afya Mh. Ummy Mwalimu walipotembelea Hospitali ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi.