Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

KATAVI RRH YAPIGWA MSASA KUTOKOMEZA 'UVIDA'

Posted on: June 8th, 2025

Leo Juni 9, 2025 Wizara ya Afya kwa kushirikiana na shirika la PATH wamefanya 

tathimini ya Hospitali Ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi kuhusu uwezo iliyonao

 wa kapambana na usugu wa vimelea dhidi ya dawa (UVIDA) aina ya antibioki.


Tathimini hiyo inatia hamasa kwa Maabara ya Katavi RRH kufuatilia UVIDA

 na  matumizi sahihi ya dawa aina ya antibiotiki.