KAMBI YA MATIBABU YA FISTULA NA MSAMBA
Posted on: August 18th, 2025
Kambi ya Matibabu ya Fistula na Msamba imeanza Agosti 14, 2025 katika Hospitali
ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na inatarajiwa kumahitimishwa Agosti 22, 2025.
Kambi hiyo inayoratibiwa na Chama cha Madaktari wa Upasuaji wa Fistula Tanzania (AOFST),
Fistula Foundation na kushirikiana na Wizara ya Afya inatoa matibabu bure.