ATOLEWA JIWE LENYE UZITO WA GRAMU 500 KWENYE KIBOFU CHA MKOJO
Posted on: December 16th, 2024Leo Desemba 17, 2024 Madaktari Bingwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi
wamefanikiwa kuondoa jiwe lenye uzito wa Gramu 500 kwenye Kibofu cha Mkojo.
Upasuaji huo umeongozwa na Dr. Philipo F. Mwita, Huduma za Kibingwa za Upasuaji
wa Mfumo wa Mkojo (Ulorogy) zinapatikana katika Hospitali yetu, Karibu tukuhudumie.