Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Agizo la Katibu Mkuu Wizara ya Afya

Posted on: March 20th, 2022

 Vongozi Salaam. Naomba kuwakumbusha kuwa MIRADI ya fedha za IMF, haina extension ya funding beyond June 30 ,2022. Sasa kaeni na wakandarasi wenu na kuhakikisha ujenzi na manunuzi yanakamilika May au Mid June 2022, otherwise, hakuna fedha ya kuwalipa baada ya June, na mtakuwa mmeshindwa kutekeleza maagizo  viongozi na masharti ya mkopo wenyewe . So let us be proactive, speed up the projects' schedule of work and intensify our weekly supervision , nimegundua pia kuna mikataba ya ujenzi ya fedha za IMF, itaisha baada ya June 22. Hiyo haikubaliki. Hakuna fedha za kuwalipa wakanadarasi , baada ya June 22.