Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

JINSI YA KUMUONA DAKTARI BINGWA PAMOJA NA SIKU ZAKE

Katika hospitali ya Rufaa mkoa wa Katavi kuna huduma ya Daktari bingwa kama ifuatavyo:

  1. Pediatric (ijumaa)
  2. Gyn&OBS (jumanne)
  3. Surgery (jumatano)
  4. Internal Medicine (Alhamis)