Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Ujumbe Kutoka NMB tawi la Mpanda Katavi

image description

Saturday 14th, December 2024
@Katavi

Afisa Mahusiano wa benk ya NMB akitoa elimu kuhusu   Bima ya mkono wa pole kwa vikundi  alieleza kuwa Benki ya NMB wanafanya kazi na Metropolita Quality Issuarance ambayo lengo Ni kutoa Mkono wa pole kwa mwanakikundi kufariki, mwenza au Mtoto  kiwango Cha watoto 4, Bima hizi zimegawanyika Katika Makundi (3) nayo Browns,Silver,Gold

Browns member watachangia sh.500 kwa mwezi katika  miezi 12 kwa mwaka 6000, kwa idadi ya wanakikundi 5,  ikitokea mwanakikundi Amefariki ndani ya masaa 48 msimamizi wa mirathi atakabithiwa  sh.1,000,000, mwenza akifariki mwanakikundi atalipwa sh.1,000,000, kwa Mtoto mwanakikundi atalipwa sh.500,000, Pesa hizi zitalipwa Kati ya hawa watu hapa kufariki, ikiwa mwanakikundi  utamuingiza mzazi  atachangia sh.2500 mzazi atalipwa sh.500, 000,

Silver mwanakikundi atatoa sh.1200,kwakwa mwezi katika  miezi 12  (watu wa tano mara 12) , endapo akifariki mwanakikundi msimamizi wa mirathi atalipwa sh.3,000,000 na mwenza mwanakikundi atalipwa sh.2,000,000 , Mtoto 1,000,000  na ukimuingiza na mzazi utatoa sh.5500, na mzazi  sh.1,000,000, 

Gold mwanakikundi atachangia sh.2000 kwa  watu 5 Mara 12  Faida  mwanakikundi akifariki atalipwa sh.5,000,000,mwenza 4,000,000,Mtoto 1,000,000 akiingia mzazi sh.8500 malipo 1,5000,000