Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru
Thursday 10th, October 2024
@Katavi rrh
HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KATAVI KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA UHURU
HUDUMA ZIFUATAZO ZITATOLEWA BURE!
KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KATAVI.
- HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA KWA WATOTO NA WANAWAKE
- UCHUNGUZI WA AFYA YA KINYWA NA MENO NA MACHO
- ELIMU YA LISHE, AFYA BORA NA MAZOEZI.
- UCHANGIAJI WA DAMU KWA HIARI
- UTOAJI WA CHANJO YA UVIKO 19
- USHAURI NASAA NA UPIMAJI WA VVU
- UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA NDANI KAMA ; KISUKARI, SHINIKIZO LA DAMU,
- UCHUNGUZI WA SARATANI YA MLANGO WA SHINGO YA KIZAZI