Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Katavi kushiriki katika Wiki ya maadhimisho ya KRRH DAY (Siku ya kuanzishwa kwa Hospitali y... Read More
Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Katavi kushiriki katika Wiki ya maadhimisho ya KRRH DAY (Siku ya kuanzishwa kwa Hospitali y... Read More
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Oktoba 19, 2025 imekabidhi msaada wa vifaa tiba maalum kwa ajili ya watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. ... Read More
Mnamo tarehe 20/9/2025 kuna Mdau aliuliza swali kwa viongozi,Kwamba kwa nini watu wengi Mpanda Katavi wanalalamika huduma za afya katika Hospitali kuu ya Rufaa ya Katavi? Aidha k... Read More
https://www.instagram.com/p/DO3jhdYCEpE/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MTJydjNoMDhwODJxeg==... Read More
Kila Tarehe 10 ya Mwezi Septemba Dunia inaadhimisha siku ya Kuzuia kujiua. Katika Hospitali yetu tunatoa Huduma za kibingwa za Changamoto ya Afya ya Akili, Karibu tukuhudumie.... Read More
Bodi ya ushauri, Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi tunawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W)... Read More
Benki ya NMB Tawi la Mpanda Mkoa wa Katavi leo Agosti 19, 2025 wametoa msaada wa Kompyuta Saba (7) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Akizungumza wakati akikabidhi Komp... Read More
Kambi ya Matibabu ya Fistula na Msamba imeanza Agosti 14, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na inatarajiwa kumahitimishwa Agosti 22, 2025. Kambi hiyo inayoratibi... Read More
Leo Agosti 14, 2025 kumetolewa mafunzo kwa Wahudumu wa afya wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi watakaoshiriki kwenye kambi ya Matibabu Bure ya Wagonjwa wa Fistula na Msamba. ... Read More
Tunawatakia wakulima wote Tanzania Sikukuu njema ya Nane Nane.... Read More