Bodi ya Ushauri, Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi tunawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid El-Fitr.... Read More
Bodi ya Ushauri, Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi tunawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid El-Fitr.... Read More
Na WAF - Biharamulo, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Tanzania imefanikiwa kuudhibiti ugonjwa wa mlipuko wa Marburg na ameutangazia Umma wa Watanzania kuwa ugonjwa huo... Read More
Leo Marchi 8, 2025 ni siku ya Wanawake Duniani, Na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dr. Deogratias Banuba anawatakia kheri Wanawake wote Duniani.... Read More
Huduma ya Uchujaji Damu {Dialysis) imeanza rasmi mwezi huu wa Februari 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Akiongea katika Mahojiano yake na kituo cha Radio cha ... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko leo Januari 22, 2025 ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na kufuatilia maendeleo ya majenzi ya Jengo la uchujaji damu (Dia... Read More
Leo Januari 17, 2025 kumefanyika kikao cha mwezi Januari cha Timu ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi (RRHMT). Kikao hicho Kilikuwa na Ajenda mbalimbali za kimkakati&... Read More
Katika jitihada za kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu nchini Tanzania ifikapo 2030, Serikali imegawa mashine mpya 185 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 7 kwa ajili ya uchunguzi n... Read More
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Unawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Mwaka mpya wa 2025. Leo Januari 1, 2025 Asilimia kubwa ya Nchi nyingi Duniani (Ukitoa Nch... Read More
Muuguzi Mkuu wa Serikali Bi. Ziada Sellah leo Desemba 19, 2024 ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na kuongea na Wakunga Wauguzi. Bofya link hii kutazama zaidi picha. ... Read More
Leo Desemba 17, 2024 Madaktari Bingwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi wamefanikiwa kuondoa jiwe lenye uzito wa Gramu 500 kwenye Kibofu cha Mkojo. Upasuaji huo umeongozwa na Dr. ... Read More