Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

EID-AL-ADHA MUBARAK 2026

Posted on: May 26th, 2026

Bodi ya ushauri, Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi tunawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya
Sikukuu ya Eid Al-Adha.