RRHMT WAKIKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA HOSPITALI MPYA
Friday 9th, January 2026
@Katavi RRH
Baadhi ya viongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Katavi wakikagua maandeleo ya ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa ya Mkoa wa katavi





