Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Clinic ya Njia ya Mkojo (Urology)

Posted on: January 28th, 2026

Clinic ya ya kibingwa ya Magonjwa ya Njia ya Mkojo, Daktari Bingwa atatoa huduma za kibingwa kila Alhamis.