BIMA
Posted on: November 13th, 2024Serikali ya Tanzania inahimiza uboreshwaji wa utoaji huduma za afya, bima ina jukumu muhimu katika katika hospitali kuwezesha wagonjwa kufikia huduma za matibabu.
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi imeshirikiana na watoa huduma za afya ya bima kwa kutoa huduma za matibabu kwa wanachama wao.
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi inapokea kadi kutoka mashirika yanayotoa bima ya Afya yafuatayo:
- AAR Insurance
- NHIF
- iCHF
Tuna dawati maalum kwa wateja wa Bima kulingana na mfumo wa pekee wa bili kwa gharama ya moja kwa moja kwa bima husika.