Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Huduma ya Watoto

Posted on: June 15th, 2024

Huduma ya Watoto inapatokana kweny hospitali ya rufaaa mkoa wa katavi siku za Ijumaa asubuh.

Pamoja na hili Dr Yustina Adam Tizeba ambaye ni Daktari bingwa wa Maswala ya watoto katika Hospitali ya Katavi.