Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Dharura

Posted on: March 24th, 2023

Katika hospitali ya Rufaa mkoa wa Katavi kuna huduma dharura, ambapo tunapokea wateja wa dharura hasa wale wenye mahitaji ya Haraka.

Hapa tunakutana Dr. Elisha ambaye ana jukumu la kuhudumia wateja wa Dharura.