Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATOTO NJITI (PRE-MATURE)

Posted on: December 1st, 2020

Mtoto aliezaliwa Njiti akiwa na gramu 500, akimlisha keki Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi Dkt. Yustina Tizeba ambae pia ni Daktari Bingwa wa Watoto, Tukio hili lilifanyika katika maadhimisho ya siku ya mtoto njiti hapa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Katavi.