Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Katibu Mkuu CCM Ndugu Daniel Chongolo Mkoani Katavi

Posted on: November 27th, 2021

Mhe. Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo, Akikagua Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi Tar. 20/11/2020. Alipo fanya ziara yake Mkoani Katavi.