Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

KIKAO CHA RRHMT CHA MWEZI JANUARI KATAVI RRH

Posted on: January 14th, 2025

Leo Januari 17, 2025 kumefanyika kikao cha mwezi Januari cha Timu

ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi (RRHMT).

Kikao hicho Kilikuwa na Ajenda mbalimbali za kimkakati 

katika kuboresha Taasisi yetu.

Kikao cha RRHMT hufanyika kila mwezi kwa lengo

la kujadili masuala mbalimbali yanayoihusu Hospitali.