Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

CHIEF ENGINEER WIZARA YA AFYA AKAGUA MAENDELEO UJENZI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KATAVI

Posted on: November 19th, 2020

Chief engeneer  wa wizara ndugu Fransis R. Mbuya. akikagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa katavi tarehe 20/11/2020. Alisisitiza ujensi uendelee baada ya kusimama kwa muda kutokana na changamoto mbalimbali za ujenzi zinazo zorotesha maendeleo ya ujenzi. Changamoto hizo zilianishwa na archtech engineer Protus  kuwa ni ucheleweshwaji wa vitendea kazi kama bati, nk.