Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

MUDA GANI WA KUONA WAGONJWA WALIOLAZWA..?

Saa 12:00 Asubuhi, mpaka saa 01:30 Asubuhi

Mchana..

Saa 06:00 mchana mpaka saa 7:00 Mchana

Jioni

Saa 10:00 JIONI mpaka saa 11:00 Jioni.