Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

Kliniki ya Macho

Posted on: March 24th, 2023

Huduma ya kliniki ya macho inapatikana siku zote za wiki katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Katavi.