TANGAZO KWA WATEJA KLINIC MAALUM
Ofisi ya Mganga mfawidhi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi imewatangazia Wateja wote wenye kliniki maalum kuwa Hkutakuwa na huduma hio kwa kipindi cha wiki mbili kutokana na Daktari bingwa amesafiri kwa dharura maalumu
Imetolewa na Katibu wa Hospitali
Mkoa wa Katavi