Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

AJIRA KADA ZA AFYA KWA MKATABA WA MWAKA MMOJA

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi inatangaza ajira za Mkataba kwa kada mbalimbali za afya. 

Kwa maelezo zaidi fika Hospitalini. Ukiwa na viambata vyote muhimu, kama Vyeti vya elimu na ujuzi. 

Imetolewa na Ofisi ya MOI

KATAVI RRH

- 01 February 2020