Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
(Mpanda Hospitali)

All Clinics

Hii ni Clinic ya Kibingwa inafanyika kila Jumatatu.

Clinic ya Kibingwa ya Upasuaji mkubwa hufanywa na Daktari Bingwa kila Alhamisi

Clinic ya ya kibingwa ya Magonjwa ya Njia ya Mkojo, Daktari Bingwa atatoa huduma za kibingwa kila Alhamis.

Clinic ya kibingwa huduma inatolewa kila Jumatano

Huduma za Kibingwa za dharula za Kibingwa Hutolewa kila siku masaa 24.

Huduma za Kibingwa za magonjwa ya wanawake na uzazi, Daktari Bingwa hutoa huduma kila Jumanne

Clinic ya Kibingwa ya Magonjwa ya Akili inapatikana. Daktari Bingwa anatoa huduma kila Jumatatu